Udemy
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
Turn what you know into an opportunity and reach millions around the world.
Learn More
Your cart is empty.
Keep shopping
Jifunze Adobe Audition full Course

Jifunze Adobe Audition full Course

Mafunzo ya Audio Recording na Editing
Created byMitambo Hafidhi
Last updated 4/2024
Swahili

What you'll learn

  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia program ya adobe Audition
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia tools za Adobe Audition
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuafanya recordings
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kupunguza Background Noise
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuongeza na kupunguza sauti
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuboresha ubora wa sauti n.k

Course content

2 sections23 lectures2h 27m total length
  • Mwongozo wa mafunzo2:31

Requirements

  • Hauitaji ujuzi wa wowote kusoma kozi hii. Utafundishwa kuanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho
  • Unahitaji kuwa na kompyuta (Desktop au Laptop)

Description

Karibu katika mafunzo Audio recording na Audio Editing kwa kutumia programu ya Adobe Audition. Ni programu inayotumika kufanya Editing za sauti mbalimbali kama vile kurecord, kuongeza ubora wa sauti, kuondoa kelele/background noise kwenye sauti au videos n.k katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe Audtion, kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya Recording na Editing ya mbalimbali. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.

Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kwa matumizi yako na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Sound/Audio editing sasa.


Who this course is for:

  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza Adobe Audition beginner Kuanzia Beginner hadi Advanced level